unapatikana kilometre 2.5 kutoka kwenye mji huu serikali 🔥🔥 ambayo wizara zote zipo na taasisi za serikali nyingi kama sio zote zimo humu ndani

SIFA ZA MRADI

📌 mbele ya mradi kuna barababara ya meter 60 ambayo wote tunajua ukubwa wa barabara kuanzia meter 20 huwekwa rami

Tukiongelea Dodoma Lami zote zilizopo kwenye ramani ya Mipango Miji zinajengwa

BEI ZA MITA YA MRABA

📌Cash 14,500
mfano Sqm 697 x 14,500 = 10,106,500 / 3
3,368,833.
Kila Mwezi

📌Installment 15,000
15,000 x 697 = 10,455,000
20% downpayment = 2,091,000
697,000
Kila Mwezi

📌Huduma zote muhimu za kijamii zipo
📌Uhakika wa Hati miliki ni 100%

Karibuni sana wateja wetu