Mradi huu wa  unao simamiwa  na Rejaa real estate VIKONJE A 4.5km Kutoka barabara kuu ya kuelekea Dar-es-salaam 

SIFA ZA MRADI

– uwepo wa maji
– ⁠makazi ya watu
– ⁠umeme
– ⁠huduma za kijamii
– ⁠barabara zinazofikika

BEI ZA MITA YA MRABA

📌Cash 10500
mfano Sqm 500x 10,500= 5,250,000/3 = 1,750,000
Kila Mwezi

📌Installment 12,500
mfano Sqm 500 x 12,500 = 6,250,000
downpayment 1,250,000
416,833
Kila mwezi miezi 12

Karibuni sana wateja wetu