Rejaa Real Estate | Rejaa Wauzaji wa Viwanja

Huu ni mradi wa Rejaa Real Estate unapatikana Kigamboni – KIMBIJI. 100m kutoka barabara kubwa ya kuelekea buyuni

SIFA ZA MRADI

  1. Mradi ni tambararee.
  2. Umeme, Maji, shule, hospitali na huduma zingine za kijamii zinapatikana.
  3. Huu ni kwaajili ya makazi ya watu.
  4. 40 minutes ( dakika 40 ) kutoka Darajani.

📣 BEI ZA MITA YA MRABA
1. Malipo ya Cash ni 13,000
Mfano 450 x 13,000= 5,850,000

– kiwango hiki unaweza lipa hadi miezi mitatu
1,950,000

2. Malipo ya kidogo kidogo miezi 20 ni 15,000/=
Mfano 450 x 15,000/= 6,750,000

– Malipo ya kila mwezi 337,500/=
Kila mwezi miezi 20

Karibuni sana wateja wetu