Huu ni mradi wa Rejaa Real Estate unapatikana Kibaha – KONGOWE Mradi huu umezungukwa na makazi ya watu.

SIFA ZA MRADI

Mradi huu umezungukwa na makazi ya watu
* Mradi upo barabarani kuelekea bandari Kavu ya Kwala

* Mradi huu upo karibu na SGR station SOGA

– Mradi umepimwa na umechongwa barabara
za mitaa

rejaa_kimbiji_fivestar_01

BEI ZA MITA YA MRABA

  • Malipo ya cash 1sqm Malipo ya cash 9,500
    480 × 9500 = 4,560,000
  • Installment 1sqm 10,000/=
    480 × 10,000 = 4,800,000
    Malipo ya miezi 24 kila mwezi 200,000
rejaa_kimbiji_fivestar_01

Karibuni sana wateja wetu