Huu ni mradi wa Rejaa Real Estate unapatikana Kigamboni – Kibiti. Mradi upo 100M kutoka barabara kubwa ya kuelekea buyuni na utatumia dakika 40 kutokea darajani.
SIFA ZA MRADI
- Mradi ni tambararee.
- Umeme, Maji, shule, hospitali na huduma zingine za kijamii zinapatikana.
- Huu ni kwaajili ya makazi ya watu.
- 40 minutes ( dakika 40 ) kutoka Darajani.
BEI ZA MITA YA MRABA
- 1. Malipo ya Cash ni 13,000
Mfano 450 x 13,000= 5,850,000/= – kiwango hiki unaweza lipa hadi miezi mitatu
1,950,000/= - Malipo ya kidogo kidogo miezi 20 ni 15,000/=
Mfano 450 x 15,000/= 6,750,000/= Malipo ya kila mwezi 337,500/=
Kila mwezi miezi 20
Karibuni sana wateja wetu