Huu ni mradi wa Rejaa Real Estate unapatikana Bagamoyo Makurunge huu ni mradi mpya kabisa. Mradi upo 2KM kutoka barabara kubwa ya bagamoyo (Bagamoyo Road),Njia ya kuelekea Saadani national park.

SIFA ZA MRADI

📌 2km kutoka Bagamoyo Road
📌 Njia ya kuelekea Saadani National Park
📌 Malipo hadi miezi 24

rejaa_kimbiji_fivestar_01

BEI ZA MITA MRABA
1. Malipo ya cash 6,000/= kwa mita mraba

– Mfano 400SQM ( 26 x 15 )
400SQM x 6000 = 2,400,000

2. Malipo ya awamu miezi 24 ni 7200/= kwa mita mraba

– Mfano 400SQM ( 26 x 15 )
400SQM x 7200= 2,880,000

📌Kila mwezi 120,000 kwa miezi 24

rejaa_kimbiji_fivestar_01

Karibuni sana wateja wetu