madale_picha_home

Join Us in Kibaha affordable plots

Dege Residence ni Mradi wa Rejaa Real Limited, upo Kigamboni,Amani Gomvu. Viwanja vipo mkabala na barabara kuu itokayo Mwembe Mdogo kuelekea Dar Zoo (barabara ya TASAF). Viwanja vipo vya matumizi mbalimbali, kama Makazi, makazi na Biashara, sehemu za ibada, sehemu za Shule, SuperMarket na mengineyo.

Mradi una huduma za miundombinu ya barabara zilizochongwa, viwanja vya huduma za jamii, viwanja vya ibada na sehemu maalum kwaajili makazi ya jumla, elimu na maeneo ya umma

Bei kwa Mita Mraba: 20,000/=

Tags: No tags

Comments are closed.